Monday, August 13, 2012

Futari ya leo,

Asallam Alaykum,

kwa kuwa siku zimebaki chacheni vema kuanza kujikumbusha vyakula vya kawaida ili matumbo yasiwe na mshangao siku chache zijazo.

Leo tutafuturu wali na maini. Ndizi mbivu na maembe.


No comments:

Post a Comment