Tuesday, August 7, 2012

Timu ya Coastla ya Tanga yatangaza kikosi chake rasmi....

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara mwaka 1988 coastal Union 'Mangush' ama Wagosi wa kaya wametangaza rasmi kikosi chao kitakachoshiriki ligi kuu ya Bara msimu ujao.

katika kikosi hicho wachezaji ni kama ifuatavyo:

Makipa: Juma Mpongo, Abraham Kibacho, na Rajab Kaumba.

Walinzi: Said Sued (C), Mbwana Kibacha, Othman Omary, Juma Jabu, Ismail Juma, Jamal Machelenga, Cyprian Lukindo na philipp Mugenzi.

Viungo: Jerry Santo, Razack Khalfan, Khamis Shango, Mohammed Issa, Mohammed Soud, Suleiman Kassim 'Selembe', Lameck Dayton, Joseph Mahundi, Aziz Gilla na Shaffih Kaluani.

Washambuliaji: Nsa Job, Atupele Green, Dany lianga na Pius Kisambale.

Hicho ndicho kikosi kamili cha Wagozi wa Kaya kitakachonolewa na mshambuliaji hatari wa zamani wa timu hiyo Juma Mgunda 'Kipande cha baba' akisaidiwa na Habibu Kondo beki wa zamani wa timu ya Pan African ya jijini, huku mwalimu wa viungo akiwa Ally Jangalu sambamba na mwalimu wa magolikipa Bakari Shime.

Kila la kheri wagozi wa kaya......

No comments:

Post a Comment