Rais Jakaya Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadick, leo katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere. JK anakwenda Uganda kuhudhuria mkutano wa viongozi wa maziwa makuu kujadili suala la amani nchini Congo. Ambapo mkutano huo ulitanguliwa na Mawaziri wa Ulinzi wa nchi za Maziwa makuu, Waziri Shamsi Vuai Nahodha yupo huko.
Sasa sijui watajadili na suala la Ziwa Nyasa na mgogoro wetu na nchi ya Malawi......
No comments:
Post a Comment