Tuesday, August 7, 2012

Ubaguzi wa rangi katika michezo hauwezi kuisha . Na mpaka sasa wazungu hawataki kuamini kuwa Mwafrika anaweza kufanya kitu Dunia nzima ikakubali. Picha hizi tofauti zinaonyesha namna Mzungu Raia wa Uingereza alivyoshindwa kujizuia kumuoa Mwanariadha wa jamaika (mweusi) husain Bolt akishinda kila siku. Akaamua kumrushia chupa ya ulevi ili kumdhuru....

 Hii ndiyo chupa iliyomkaosakosa Bolt, ikoonyeshwa na afisa wa Olympic jijini London.

 Hapa huyo bwana (alievaa miwani) akidhibitiwa baada ya jaribio lake la kumdhuru bolt kugonga mwamba. Inadaiwa alikuwa amelewa lakini waswahili husema mlevi akitenda jambo baya ujue amedhamiria.

Hapa ndugu Bolt akianza kutimua mbio, nyuma ya namba tano, utaiona chupa iliyomkosa mgongoni....

No comments:

Post a Comment