Aliekuwa Waziri wa mawasiliano na uchukuzi Mohammed Masoud Mohammed, wa katikati alieshika tama.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Rais wa Zanzibar Dk Mohammed Shein ameshamteua mbadala wa Hammad.
Itakumbukwa Hammad ameweza kushika wadhifa huo kutoka chama cha wananchi CUF, kutokana na faida ya serikali ya umoja wa kitaifa, kama makubaliano ya serikali za umoja wa kitaifa yatafuatwa CUF watapata nafasi ya kupata mtu mwingine kutoka chama chao kushika nafasi hiyo. Lakini kama Rais Shein atakwenda kinyume na makubaliano basi atachagua mtu kutoka chama chake cha CCM kushika wadhifa huo ambapo itakuwa ni hasara kwa CUF.
HAFIDH KIDO
DAR ES SALAAM, TANZANIA
23/07/2012
No comments:
Post a Comment