Kazi haikuwa ndogo nyumba mpya, kusafisha na kupanga.
Huyu Juma kido, dogo langu nalo lilikuwa makini kuhakikisha nyumba mpya ya dada inakuwa nzuri, kabati lilikuwaje zitoooo...?
Eddy Shossy nae alikuwepo, hakuna kilichoharibika. Ila alilalamika kitu kimoja, mbona wanaoserereshwa hawakuja kumsaidia dada.. mmmhhhhhh dodo baya..
Hapa ni nje nyumba mpya ya dada, picha hii niliipiga siku moja kabla ya kuhama, hakika sikujua kama atahamia wapi. Nadhani majini yangu kichwani hunielekeza 'future...' ahaaaa usiogope i cant see ur future.




No comments:
Post a Comment