Wana Blogu leo wamefahamiana kwa msaada wa tigo....
Leo usiku kuanzia saa 1 hadi saa nne,blogers mbalimbali walikuwa Kebbys Hotel (zamani Kilimanjaro) kwa mwaliko wa Tigo kw ajili ya kufahamiana na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi pamoja na offer kadhaa zimetolewa kwa kupewa line zenye vifurushi vya kutumia bure kwa mwezi mzima.
No comments:
Post a Comment