Tuesday, July 10, 2012

Leo jembe nimeamka afya yangu haiko imara, juzi nilianza kupata homa nikatoa mafua mengi. Jana usiku mwili ulikuwa na joto kali asubuhi ilinichukua muda kuamka. Nipo ofisini tunaandaa gazeti la kesho Raia Mwema, nashukuru lakini wadau wamenishauri ninywe maji mengi na panadol... Labda itasaidia.


No comments:

Post a Comment