Friday, July 13, 2012

Niliwaahidi picha za Dk Slaa hizi hapa.

                                     Akisalimiana na wanahabari, pembeni namuona kamanda Lema.

                                          Hapa akishuka kutoka kwenye shangingi lake.

 Baada ya kuingia makao makuu ya jeshi la polisi, hapa anaelekezwa apande ngazi.

 Baabda ya kuzungumza na polisi hapa akitoa mrejesho kwa wanahabari waliomsubiri kwa saa zaidi ya mbili nje ya jengo la makao makuu ya polisi mbali ya kusukwasukwa na mnadhimu wa jeshi hilo afande Mbezi.

Hapa wafuasi wa chadema waliofika eneo la tukio wakisukuma gari la katibu mkuu wao.

NB: Picha zote kwa hisani ya Nkoromo blog..

No comments:

Post a Comment