Friday, December 14, 2012

Hatimae wahanga wa gongo la mboto wapata haki yao....

 Hapa Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa nyumba hizo ambazo zimejengwa kuwasaidia watu walioathirika na mabomu ya gongo la mboto.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua ya serikali ya kujenga  nyumba mpya 35 kwa ajili ya  waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Dec 13,2012. mama huyu alipoteza mume katika mabomu hayo, amejengewa nyumba ya vyumba vitano na milango ya duka. 


Nyumba hizi zinavyoonekana kwa uzuri wake.
picha kwa hisani ya Ikulu.

No comments:

Post a Comment