Friday, December 14, 2012

Koffi Charles Olomide yupo Tanzania.....

 Jembe hili likiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana.

Wanahabari wa Clouds Media Group kutoka kushoto Millard Ayo na kulia ni Ben Kinyaiya wakipata habari mbili tatu kutoka kwa Koffi kiongozi wa Band ya Katelatee ambae ametua nchini kwa mwaliko wa Clouds Media Group kusherehekea miaka 14 tangua kuanzishwa kwake mwishoni mwa mwaka 1998. Sasa sijui walikuwa wanaongea lugha gani, kifaransa, kingereza, kilingala ama kiswahili.....

No comments:

Post a Comment