Monday, December 31, 2012

Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan akiongoza mazoezi kwa vilabu vya jogging jijini Dar es Salaam kuukaribisha mwaka mpya...

 Mbunge wa jimbo la Kinondoni Iddi Azzani, akiongoza mazoezi kwa vijana wa Klabu 12 za jogging kutoka maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam  wakati alipoalikwa kushiriki Bonanza la kumaliza mwaka lililoandaliwa na Kawe Jogging Klabu jijini Dar es Salaam. Kabla ya bonanza hilo kulikuwa na mazoezi ya kukimbia umbali wa Kilometa nane kutoka Kawe kupitia Lugalo hadi Mbezi Beach na kurejea kwa kupita barabara ya Bagamoyo ya zamani.
Idd Azzan akivuta kamba.Vijana wa jiji la Dar es Salaam kutoka kwenye Klabu za 12 tofauti za Jogging 12 jijini Dar es Salaam wakifanya mazoezi ya kukimbia jijini Dar es Salaam Kabla ya kuanza kwa Bonanza la kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha 2013 lililoandaliwa na Klabu ya Jogging Kawe jijini.

picha kwa hisani ya saidpowa bolg

No comments:

Post a Comment