Thursday, December 20, 2012

Ugeni huuu basi ulete neema, siyo mgeni njoo mgeni apone... bali mgeni njoo mwenyeji apone... yangu ni hayo tu.

 Viongozi wa timu inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza ya Sunderland wakiwa katika viwanja vya ikulu na mwenyeji wao Rais Jakaya Kikwete wakati wakiwa katika ziara yao nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short, Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii baada ya mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.                      

Picha na Ikulu....

No comments:

Post a Comment