Saturday, December 22, 2012

Shukurani kwa Rais...

 msanii Waziri kutoka Band ya Njenje akizungumza kwa niaba ya wasanii wenzie mbele ya mmiliki wa Ikulu jana.

Mzee Nguza Viking ama Nguza Mbangu kutoka Band wa Wazee sugu akisalimiana na Rais Kikwete jana.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii
ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.

Picha kwa hisani ya Ikulu.


No comments:

Post a Comment