Tuesday, December 18, 2012

Mambo ya Dar Metro yakubalika na meya wa jiji la Dar es Salaam...

 Meya wa jiji la Dar es Salaam Dk Didas Masaburi akilipitia gazeti la matangazo Dar metro ofisini kwake wiki iliyopita.

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi alivyolipokea vema gazeti jipya la Dar Metro kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto, ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment