Saturday, December 8, 2012

Kumbe jembe na mimi niliuza katika magazeti ya bongo? Tazama nyuma ya jamaa mwenye sura nyeusi kuna mtu amenyoosha kidole ana shuka ya kimasai ni jembe hilo uwanja wa lugogo..... tulipowachapa wanyarwanda 2 kwa ubuyu.


No comments:

Post a Comment