Thursday, December 13, 2012

Huyu Mzee namuheshimu sana prof Issa Shivji....

Rais Kikwete akisalimiana na mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Nyerere Professor  wa sheria na mchambuzi wamasuala ya siasa, uchumi, jamii na historia nchini prof Issa Shivji, walipokutana wiki hii katika mkutano wa kitaaluma wa uchumi ukumbi wa Karemjee Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment