Thursday, December 20, 2012

Tunaanzia tulipoishia jana... Picha za Coastal U/20 Chamazi.... juzi.

 Vijana wakipasha misuli kuangalia kama mikonno yao ipo salama kuikabili mikiki ya maafande..


Meneja Ubinde akibadilishana mawazo na viongozi wa TFF kabla ya mchezo kuanza ili TFF wajiridhishe kuwa hakuna mamluki.


                                                  Utajiri wa mipira tunao hatuazimi kwa mtu.

                                                           Kikosi cha Coastal U/20

 Kikosi cha Ruvu Shooting U/20 

 Coastal tukapigwa kimoja kama dakika ya 20 hivi, Kocha akaanza kuzungumza na wachezaji wake waache mchezo maana Binslum aliahidi donge nono kulikosa ni dhambi.

 Kweli vijana wakamuelewa kocha wakaanza mashambulizi ya kushtukiza, lakini wakati mchezaji wetu anakwenda kufunga akavutwa mguu na golikipa ikawa penalt kama dakika ya 30 hivi. Lakini penalt hiyo haikuzaa matunda maana iligonga mwamba wa juu na kurudi chini. hakuna kitu.

                                  Watoto wa Ruvu walivyokuwa na gubu wakatupiga bao la pili.

                   Benchi la Coastal hali ilikuwa tete dakika kadhaa kabla ya kindi cha kwanza kuisha.


                                     Hatimae dakika tisni zikaisha mabao ikawa 2-2 sikuwa na ile camera yangu hivyo sikuweza kuyapata vema mabao. hapa vijana wakipasha misuli kwa ajili ya kupiga penalt tano tano.                

No comments:

Post a Comment