Saturday, December 22, 2012

Jerry Slaa ni kiongozi mwenye kuona mbali.....
Meya wa Ilala jijini Dar es Salaam, akionekana katika picha tofauti wakati aliposhiriki sherehe za jumuia ya Hindu. Jerry Slaa nimemuita ni kiongozi mwenye kuona mbali kwa maana anajua wilaya yake ya Ilala uchumi wake umeshikiliwa na waasia waarabu na wahindi. Hivyo kuwa nao karibu ni njia nzuri ya kujua wanataka nini ili kulipa kodi kwa moyo mmoja ambayo ni njia pekee ya kuendeleza wilaya hiyo.

Picha zote kwa hisani ya Zainul Mzinge.

No comments:

Post a Comment