Demba Ba wa Chelsea akikokota mpira mbele ya adui yake jana Chelse ilipokutana na West Ham United...
Super 8 Lampard akiweka wavuni goli la kwanza dakika ya 19 na kuandika historia ya kupachika bao lake la 200 tangu ajiunge na Chelsea.
Hazard akishangilia bao la pili dakika ya 50 kipindi cha pili lilizamisha ndoto za West Ham kurudisha japo goli moja katika mechi hiyo ya ligi kuu Uingereza iliyoishia kwa 2-0 na kufufua matumaini ya Chelsea kumaliza nafasi nne za juu.
No comments:
Post a Comment