Makamu wa Rais afungua mkutano wa kuhimili mabadiliko ya tabia nchi..
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Muhammed Gharib Bilal
akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa
wakati wa Mkutano Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu kuhimili Mabadiliko
ya Tabiachi kwa Njia za asili.
Makamu wa Raisi wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Ghari Bilal na Waziri wa Nchi Ofisi
yaMakamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa wakionyesha kitabu cha
Mkakati wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi mara Baada ya Kukizindua
Makamu wa Rais Kwenye Hotel ya New Afrika Jijini Dar es
Salaam.
[Picha na Ali Meja}
No comments:
Post a Comment