Monday, March 4, 2013

Mchezo wa masumbwi sasa unaanza kupoteza ladha.....

 Japhet Kaseba akitupiana masumbwi na bondia wa zamani Maneno Oswald (mtambo wa gongo) kugombea ubingwa wa Taifa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Kaseba alishinda kwa point.

Mwamuzi wa pambano hilo Antoni Ruta akinyoosha juu mkono wa Kaseba akiashiria ushindi kwa bondia huyo ambae fani yake ni kick boxing.

chanzo: Handeni kwetu blog.

No comments:

Post a Comment