Katika kesi
iliyolalamikiwa kimataifa, mwandishi huyo, Abdilaziz Abdinuur, awali alipewa
hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja kwa kumhoji mwanamke ambaye alisema alibakwa
na wanajeshi wa serikali.
Mwanamke
huyo piya alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja lakini kesi yake ilifutwa kwenye
rufaa awali mwezi huu.
Jaji
wa mahakama makuu - Aidid Abdulahi Ilkahanaf - alisema mashtaka yote dhidi ya
mwandishi huyo wa habari sasa yamefutwa.
Chanzo: BBC Swahili.
No comments:
Post a Comment