Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meek Sadiki akifanya Ufasi Wa jiji katika
Barabara ya Kawe kwenye Wakati wa Kuadhimisha
Siku ya Mazingira Barani Afrika Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu
wa Rais Dk Julias Ningu.
Waziri wa Nchi Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na
Waziri wa mazingira Dk Terezya Huvisa, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Chalrs
Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sar es Salaam Said Meek Sadiki wakifanya
Usafi Kandokando ya barabara ya kawe Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira
Barani Afrika Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers
Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Wakifanya
Usafi Kuadhimisha siku ya Mazingira Barani Afrika.
Waziri
wa Mazingira Dk Terezya Huvisa akiwahutubia
Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni Wakati Sherehe hizoa Kuadhimisha Siku ya Mazingira
Barani Afrika kwenye Viwanja vya Tanganyika
Packers huko Kawe Jijini Dar es Salaam jana.
Picha kwa hisani ya Ali Meja ofisi ya Makamu wa Rais.
No comments:
Post a Comment