Sunday, December 2, 2012

Jembe nawaomba radhi mashabiki wangu

Jana nilikuwa uwanjani lakini kamera yangu haikuwa nzima hivyo sikupata tukio hata moja... Lakini nilishuhudi Mrisho Ngassa akipachika mabao matano peke yake katika uwanja wa Lugogo.....

No comments:

Post a Comment