Friday, March 1, 2013

Uingereza yaleta balozi mpya Tanzania.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania Mhe.Dianna Melrose ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment