Monday, October 1, 2012

Bado Tanznia tuna vivutio vingi ambavyo bado kuvumbuliwa.


 

Wakazi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele wakiteka maji kwenye chemchem ya Majimoto ambayo hutoa maji ya moto yasiyopungua wingi hata wakati wa kiangazi. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment