Monday, October 1, 2012

Mbali ya kuambia ana uroho wa madaraka lakini kamanda zitto anaendelea kutema cheche jimboni kwa Dk Slaa...


Zitto Zuberi Kabwe baada ya kutoka jimboni kwake Kigoma jana aliamkia jimbo la katibu mkuu wake Dk Slaa, Karatu na kuendeleza vuguvugu la mabadiliko.

No comments:

Post a Comment