Wednesday, July 25, 2012

Mnamjua huyu? Leo ni siku ya mashujaa Tanzania.....

Huyu anaitwa Abdul Adam Sapi mkwawa, baba yake alikuwa Spika wa kwanza wa bunge la Tanganyika. babu yake ndie alekuwa Chifu wa Wahege ambae aliwatesa sana Wajerumani Mkwawa.... mpaka kichwa chake kilipelekwa Ujerumani ili kumpima akili zake ni nyingi kiasi gani. kwa sasa kichwa cha mkwawa kipo makumbusho ya taifa Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment