Huyu ni ombaomba maarufu pale Posta mpya... atafute kazi banaah....Inamana hawezi hata kushona viatu?
Leo nimekutana na jembe langu Mohammed Mharizo mwandishi nguli wa michezo Gazeti Mtanzania..
Ukija mjini usipopita eneo hili jiambie kuwa wewe hujafika mjini bali pembezoni mwa mjini...
Mambo kama haya hufanyika usiku tena kwa vifaa maalum.
Nimeipenda hii, hili ni bustani lililo posta ya zamani...
Huyu dada alievaa ngu nyekundu alikuwa amepandisha mashetani katika bustani lililo posta ya zamani.. Huyu dada mwingine anampigia simu ndugu ya huyu aliepandisha mapepo ili aweze kusaidiwa kuongea na kiti, ahahaaaaaaaaaaaaaaaaa kaazi kwelikweli.
Sasa sijui ni swaum ama kuchoka tu..... Bustanini hapa.
Hii nayo ni ofisi ya mtu usiidharau hata kidogo, ukitaka makopo 'used' njoo hapa mnazi mmoja hii.
wateja wenyewe wanakuja mjini na mifuko yao,hamna biashara.
hawa si wendawazimu bali hali ya maisha inawafanya kulala popote.
No comments:
Post a Comment