Poleni kwa kusubiri,maana tangu asubuhi sikuonekana mtandaoni. nilidhani kuna mtu alikuwa akinichezea katika mtandao maana sikuwa nikiipata blogu yangu.
Lakininimejitahidi kukabiliana na mafua hayo yaliyoikumba blogu yangu na sasa nipo hewani,karibuni tena niwapashe habari zilizopimwa.
HAFIDH KIDO
DAR ES SALAAM, TANZANIA
25/07/2012
No comments:
Post a Comment