Huyu si mwendawazimu bali ni mtanzania halisi akitafuta riziki. mtu kama huyu anatafuta chupa tupu akauze ili apate walau Tsh elf moja kwa siku. lakini daktari aliesomeshwa na serikali anadai pesa za kuanzia kazi ziwe milioni tatu na nusu. Mhhhhhhh... tafakari..
No comments:
Post a Comment