Hili ni lango la shule ya msingi Bombo, Tanga mjini.nililitumia lango hili kwa miakasaba kuingia na kutoka bila kukoma,nalo halijawahi kunung'unika wala kukataa kufunguka kilanilipotakakuingia ama kutoka kuanzia mwaka 1992 mpaka 1998.
Hii ni nyumba iliyonilea tangu nikiwa mdogo, ipo Tanga mjini, Ngamiani, miti ulaya barabara ya 6.
Nisaidieni kuelezea picha hii wadau.
No comments:
Post a Comment