Tuesday, July 3, 2012

Mabondia wa Tanga wameandaa shughuli maalum kumkumbuka Bondia mkali wa Tanga Marehem Magoma aliefariki miezi michache iliyopita. Pichani Mbwana ramadhan kushoto akichuana na Patrick Kimweri katika taadhima hiyo ya ndugu yetu Magoma.


No comments:

Post a Comment