.
Monday, July 2, 2012
Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu. Jioni mitaa ya Posta inakuwa na wateja wengi wa nguo. Unaweza kupendeza kwa Tsh 2000 tu. Uwezo wako wa kuongea bei ndiwo utakaokuwezesha kupungua kwa bei.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment