Afisa mkuu mtendaji wa
benki ya Barclays Bob Diamond hatimaye amejiuzulu.Mwenyekiti anayeondoka Marcus
Agius, ambaye alitangaza kujiuzulu kwake hiyo jana, sasa atakuwa mwenyekiti wa
kudumu wa benki hiyo na ataongoza mikakati ya kumtafuta afisa mkuu mtendaji
mpya.Benki ya Barclays, imekumbwa na kashfa ya kuongeza viwango vya riba
kinyume cha sheria.
Chanzo:BBC
No comments:
Post a Comment