Wednesday, July 4, 2012

Camera ya jembe mtaani.... leo hii asubuhi.

                                         Changia chama, mtaani kwetu ni jambo la kawaida hata kama timu huijui.

                                        Bodaboda, tunasubiri wateja.

Ofisi za Raia Mwema zimepakana na ofisi za Tigo, nikakutana na jembe anagonga chai asubuhi hii. Naam shavu halijengwi na cement.

                                  Asubuhi lazima wauza nyama wanoe vifaa vyao ili kuwapa huduma wapenda nyama.

                                     Mtaani kwetu ukiuza maandazi ama vitumbua lazima uwe maarufu.

 Rais Kikwete, wakati anazungumza na Bunge kwa mara ya kwanza alipopata urais mwaka 2005, alisema alipokuwa akizunguka kuomba kura vijjijni alikuta vijiji vingi vina matatizo ya maji, na atahakikisha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake atahakikisha tatizo la maji linaisha nchini. Sasa ni mwaka wa saba lakini tatizo la maji halijaisha si vijijini tu hata mjini.

No comments:

Post a Comment