Thursday, July 5, 2012

Hata jembe nalohuchoka jamani khaaaaa..? hapa ni baada ya kupiga picha katika tamasha la utamaduni chuo kikuu cha kimataifa cha kampala KIU kampala Uganda miezi miwili iliyopita. Pembeni yangu ni Jembe mfutakamba aka mtumishi wa Mungu.


No comments:

Post a Comment