Haya ni majembe yangu wanafunzi wa kitanzania waishio kampala, nasi tulikuwa na timu yetu Machakos FC, hatukuwa tukibagua nchi yeyote alikubaliwa kutoka nchi yoyote. wa kwanza kutoka kushoto ni Dani mfungaji bora. Jembe hilo handsome boy wa kwanza kupiga ngoma katika tamasha la utamaduni chuoni.
No comments:
Post a Comment