Hapa wakiwa katika mazungumzo na kuulizana hali, maana ni miaka mingi kiasi tangu aondoke.. Kumbuka kabla ya mama Migiro kuenda UN kuchukua nafasi ya unaibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa alikuwa ni waziri wa mambo ya nje katika uongozi wa Kikwete.
(Ni kama wanasema) "Huku kote ni eneo la ikulu, hivyo ukija kukaa hapa hakikisha panakuwa pasafi, maana marais wote tangu uhuru ni wanaume sasa maeneo si nadhifu, nimesikia wanawake ni watunzaji wazuri". Mama Migiro anatajwatajwa sana kumrithi Rais Kikwete.... ndiyo maana nimetoa utani huu.
No comments:
Post a Comment