Rajabu Maranda na Binamu yake Farijala Huseni wakipelekwa
Lupango. Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu imewahukumu miaka mitatu jela kwenye
kesi ya wizi wa fedha za malipo ya madeni ya nje (epa) iliyokuwa ikiwakabili.
Picha kwa hisani ya blogu ya kamanda wa matukio..
Picha kwa hisani ya blogu ya kamanda wa matukio..
No comments:
Post a Comment