Iko poa imekaa poa kaka, kwanza kabisa nimelipenda jina lake,
so unique, habari mpangilio uko poa ama kwa hakika unaitendea haki shahada yako
imekaa kihabari zaidi.
Blog nyingi watu wanaandika andika tu alimuradi halafu wengi 'wanacopiana' habari na links. Endelea kutuhabarisha kaka tupo pamoja na
twahitaji picha nyingi zaidi za matukio to make it more colorful other ways your
doing good work congratulations kaka!
Wilbart.
No comments:
Post a Comment