Thursday, July 5, 2012

Mishe

Hili ni basi analotumia Rais Obama kufanyia kampeni zake za kuendelea na awamu ya pili ya Urais Marekani.

 Mishemishe za Town Posta City Center hata muhuri wa Rais unapata na haina gharama.

 
 Nilimnasa huyu jamaa maeneo ya Shule ya msingi bunge akitoa neno la leo Free of Charge.

Ati wanasema gari zenye mashine nyuma hazina mbio, thubutu yakooooo.

No comments:

Post a Comment