Mashalah Uislam ulikuja Africa mashariki Mwaka wa 5 wa
kiislamu Habashi [ Ethiopia ] kabla ya haijafika Yemen wala Dubai wala Misri
wala Oman na walikuja maswahaba ni saady bin wakasi (A. S) na bin Ubeda (A. S)
na mtoto wake Rukia bin Muhamad.
Na sisi Uislam ulifika kwetu kabla amir
miuminina Umar bin Khatwab (R.A) hajasilimu na ndio Mfalme wa Habash akawapokea
mtoto wa mtume na maswahaba na barua aliyowapa na wakakirimiwa na mfalme wa
Habash pia akampelekea barua ya kuukubali Uislam Mtume ALLAH AKBAR…..
No comments:
Post a Comment