Thursday, July 5, 2012

wadau mnaukumbuka ule wimbo wa 'Sasa ni lunch time... sijui nini ninihukombele?" Clouds radio walikuwa wakiupiga kila ifikapo mchana. Kuna kipande kinasema, na wengine nao hulala uwanjani wakisingizia uchoovu. Kumbe shida ndiyoo hufaanya tukanganganaa na maharagwee....


No comments:

Post a Comment