Wednesday, August 15, 2012

Futari ya leo

Asalam Allaykum,

Futari ya leo itakuwa muhogo wa nazi, ndizi mbivu, kalmati, bajia, samaki wa kukaanga na chai ya mkandaa...

No comments:

Post a Comment