Friday, August 17, 2012

Kamera ya jembe mtaani leo...


 Kanzu ya ijumaa hufuliwa Alhamisi, je kanzu ya sikukuu inafuliwa lini? Msikiti wa kichangani huu leo.


 Leo jembe nimesali ijumaa ya mwisho katika Ramadhan ya mwaka huu katika msikiti wa Kichangani. Msikiti wa harakati huu.nakumbuka ijumaa ya mwanzo kabla ya Ramadhan pia nilisalia hapa, na kesho yake Mungu akajaalia ikawa ramadhan siku ya jumamosi. sasa sijui kesho itakuwa sikukuuu?

No comments:

Post a Comment