Thursday, August 16, 2012

Khaaaa!!!! hii kali bonzo bado anapigana?

Huyu ni bondia wa siku nyingi sana anaitwa Mohammed Bonzo ana umri wa miaka 63, anaweza kuwa ndie bondia mzee kuliko wote Tanzania kwa wakati huu. Bado anazichapa kama kawaida, juzijuzi tu alimchapa mtoto mdogo wa miaka 24 watu wakabaki midomo wazi. Ukimuona kama mzembe hivi akitembea mitaani lakini mchokoze uone moto. Inasemekana siku ya Eid atapigana tena. mhhhhhhh....

No comments:

Post a Comment