Thursday, August 16, 2012

JK huyu anafanya kazi sana, anahitaji kupongezwa..

 Leo asubuhi akipokewa na makamu wake Mohammed Bilal uwanja wa ndege akitokea Mkoani Tanga,kabla ya hapo juzi alikuwa Mkoani dodom kuhudhuria uzinduzi wa mradi wa maendeleo Tasaf III, na kabla ya hapo alikuwa nje ya nchi akiiwakilisha Tanzania katika vikao na mazishi pia ya aliekuwa Rais wa Ghana.

hapa akizungumza na wakazi wa Tanga katika futari iliyoandaliwa kwa ajili yake jana.

No comments:

Post a Comment