Thursday, August 16, 2012

Wizara ya afya kufanya mabadiliko makubwa katika mwaka wa fedha 2012-2013


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akiowaonyesha wadau wa huduma za afya nchini (hawapo pichani) moja ya kitabu cha mwongozo wa kutekeleza mfumo wa usimamizi wa ubora wa huduma za maabara kitabibu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiswahili mara baada ya uzinduzi. Wanaoshuhudia ni mkurugenzi wa washirika wa huduma za Afya duniani (CLSI) Connie Adams (kulia) na Magreth Mhando, Mkurugenzi wa huduma za Kinga wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (kushoto).

Picha na Aron Msigwa –MAELEZO

No comments:

Post a Comment